Bosi wa Young Money,Mack Maine amefunguka kuhusu Album ya Young Money finest.Lil Wayne,Tha Carter IV na kusema itachelewa na kusogezwa mbele kuwa-released.
Mack Maine alifunguka kuwa hakuridhika na maandalizi ya Album hiyo yalivyofanyika ndio maana imesogezwa mbele,ikiwa ni pamoja na kurekebisha baadhi ya lirycs na kwa sasa wako studio jijini Los Angeles kwa ajili ya kufanyiwa ma
rekebisho ya mwisho.
Album ya Tha Carter IV,ilikua itoke mwezi may 16,2011 na kwa sasa itakua kitaani June 21,2011.