Wednesday, April 27, 2011

LIL WEEZY KUACHA GAME ATAKAPOFIKISHA MIAKA 35

lil wyne akiwa anawakilisha kundi la young money amesema ana miaka saba kwenye game kwasasa ili aweze kupumzika na kufanya michakato mingine.mchizi amesema haoni ajabu kwake kustafu akiwa na miaka hiyo coz atakuwa amefanya kazi kubwa. pia mchizi amefunguka kuhusiana na kuongeza watoto ambapo amesema hana mpango wa kuongeza wakid tena coz ana watoto wanne mpaka sasa.kwa s

asa weezy yuko kwenye tour yake inayoitwa im music 2 tour akiwa na vichwa kibao kama nicki minaj,travis baker na rick ross na anatarajia kuachia album ya the curter 4 mwezi wa 5.