Baada ya DeAndre Cortez Way aka Rapper Soulja Boy Tell Em kufunguka hivi karibuni kuwa alikutana na Cash Money CEO Bryan Williams aka baby aka Birdman kuwa huenda akafanya maamuzi mengi baada ya deal yake na Interscope kuisha,so watu wengi walikua wanavumisha kuwa Cash Money CEO,Birdman anataka kum-sign kwenye label ya Cash Money...
Birdman amefunguka na rumours hizo na Birdman alitupia kwen
ye twitter account yake kuwa, na kusema kuwa alipokutana na Soulja Boy hajaongea nae deal kama hiyo na hizo habari ni za uongo na uzushi aka umbea...na hazina ukweli wa aina yeyote kwa upande wake!!!!!!