Thursday, May 19, 2011

HII NDIYO HOTELI YA KIFAHARI ILIYOJENGWA NDANI YA MAJI.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Na hii ndiyo Hotel ya JULES UNDERSEA LODGE iliyojengwa chini ya Bahari huko Florida nchini Marekani.
Aambapo Ujenzi wake ulikamilika mnamo mwaka 1986 na imejengwa umbali wa mita 6.4 kuelekea chini ya Bahari
Na kupanga masaa 3 tu ndani ya Hotel hiyo inakulazimu ulipie Dola 250 ambazo ni sawa na 380,000 za kibofongo, na ukitaka kulala kwa usiku mmoja utalipia Dola 380 sawa na 560,000 za kibongo, HA

BARI si ndio hii wana………….!!!!