Habari zilizozagaa toka kiwanja kuwa mtu mzima, Barry Adrian Reese a.k.a Cassidy inasemekana mchizi amekamatwa pande za Hackensack,New Jersey kwa kutokana na taarifa zinazodai kuwa Cassidy anahusishwa na mauaji na matukio mawili ya uhalifu yaliyotokea pande za Philadelphia hivi soon.
Polisi wa Philadelphia walimfuatilia mtu mzima, Cassidy tangu alipotoka pande za home kwake mchana na kulipiga
stop ndinga lake kitendo kilichomshangaza mwana,na dizain kama mchizi anatarajiwa kupelekwa mjini Philadelphia soon kujibu mashitaka hayo mawili yanayomkabili.