Huu ndio mjengo aliyokua akiishi Osama Bin Laden pande za Abbottabad maili 40 toka mji mkuu wa Pakistan,Islamabad ambayo iliyojengwa mwaka 2005, ambapo mjengo huo ulikuwa hauna mawasiliano ya simu wala internet. na ilikua na ukuta uliokua na urefu wa futi 12 - 18 kuizunguka na kulikua hakuna hata dirisha moja liliangalia upande wa barabarani....! na ndio maskani aliyoamua kujutupia msela
osama!!!!!!