baada ya mwanadafa mwenya mavitufuko kibao kupata shavu la upaparazi katika jarida la v magazine kitu tayari kimeshaanza kuonekana ambapo lady gaga amekaa front page kwenye jarida hilo na anaonekana akiwa na vichwa vitatu na akiwa amepigwa make up ya nguvu na pia inasemekana kuwa mauzo ya jarida hilo kwa 10% yataelekezwa kwenye mfuko wa kusaidia wahanga waliokumbwa na tete
meko la ardhi huko japan na hapa nanukuu ”lets connect culture from around the world and rebuild this beautfull country” na pia ndani ya jarida hilo utapata kufahamu kuhusu maisha yake na jinsi alivyosomea muziki wa pop na kufahamu mambo kibao