baada ya album yaka iliyoitwa the deandre way kutofanya poa katika wiki ya kwanza ilipoingia sokoni kwa kuuza copy 13,000 kwa wiki ya kwanza dogo mwenye umri wa miaka 20 soulja boy tell em anatarajia kupiga collabo ya nguvu na Canadian intertainer na kupiga mixtape ya pamoja ambapo mtu mzima drake ana mpaango wa kutimba home kwa soulja boy na ni mbali ya project hiyo na kupanga
jinsi mchakato utakavyokwenda na mtu mzima soulja boy amefunguka kuwa watakuwa wanahudhuria studio kwa mda wa wiki nzima ili kukamilisha mchakato huo na mixtape itakwenda kwa jina la juice ambapo soulja boy amesema ndio muda wake wa kujifunza mengi kutoka kwa the young money mafia.
soulja ameendelea kufunguka kuwa anashughulikia movie inayoitwa juice iliyotoka mwaka 1992 na kuifanya kwa usahii zaidi na kutumia mwongozo wa movie ya 2pac shakur bishop katika movi yake.