Sunday, May 8, 2011

USHAMBA WA ANTONIO NUGAZ WASABABISHA KUHARIBU SHOW YA MISS MBEYA INTERCOLLAGE

big up za kutosha kwa waandaaji wa show hiyo ambao ni 2 sisters entertainment.siku nyingine muwe makini kuangalia mc ambaye atakua anajua wajibu wake kama mc.na sio kuwapa kazi watu ambao mwisho wa siku wanachangia kuharibu show.alichokua anakifanya antonio katika show hiyo ni ushamba tu wa kunadi kipindi anachokifanya na kusahau wajibu wake.ishu ilikua hivi! baada hatua ya 5 bora kumalizika aliitwa mrembo ambaye atakua ni balozi wa coca kola ambao walikua ni wadhamini wa show.moja kati ya zawadi ambazo alitakiwa apewe ni pamoja na simu aina ya black berry.lakini wakati akipewa zawadi hiyo miss huyo ndipo walipofungua box la simu hiyo na kukuta lipo tupu halina kitu ndani.kitu ambacho mc akakifanya kionekane kwamba coca kola walitaka kutompa simu ile yule mrembo.kitu ambacho iligundulika yalichanganywa mabox ya cm wakati zawadi inachukuliwa.ilifikia sehemu kutokana na utaratibu mbaya wa mc wadhamini kama my choice botiq kutupa fedha chini alizoshinda miss na kusababisha miss haanze kuokota fedha hizo.kushindwa kuwataja wadhamini na kubaki akitaja kituo anachofanya kazi.mbona hao wenzio pia ni maarufu kupitia kazi nzuri wanazofanya na sio ushamba uliohuonyesha on the stage.au ulitaka uonekane mpigania haki za watu! je wewe umefanikiwa kupigania haki yako ya mwisho wa mwezi? th teh teh teh teh teh ACHA USHAMBA. big up kwa mwasiti pamoja tht dancers kwa kanzi nzuri ON THE STAGE!