Thursday, April 28, 2011

CHRIS BROWN NA JUSTIN BEIBER KUKISANUA PAMOJA ON STAGE.

R&B star,Chris Brown ambaye yuko kwenye Worldwide tour yake iitwayo F.A.M.E na dogo toka Canada,Justin Bieber naye kwa sasa yuko nchini Australia kwenye tour yake iitwayo My World Tour.
Chris Brown na Justin Bieber wana hit collabo yao mpya inayofanya poa katika stations mbalimbali iitwayo Next 2 You, na kuna rumours zinazoendelea kitaa kuwa huenda Chris Brown akaungana na Justin Bieber k


usanua show ya pamoja, katika jiji la Sidney nchini Australia.