mwanamuziki 20 % amewalalamikia vibaka wa mjini tabora ya kumuibia simu ya kichina, khali iliyomfanya atunge wimbo ambao unatamba kwenye radio station mbalimbali nchini unaojulikana kama TAMAA mwanamuziki huyo nyota nchini amesema ameshindw kuendelea na kurekodi filamu baada ya kupigwa kichwani, kwani tayari alikuwa ameanza kurekodi filamu hiyo akiwa na nywele hivyo kumfanya asubili kwanza. pole sana broo