Wednesday, November 17, 2010

AFANDE SELE AISHUKULU MBEYA MJINI

mwanamuziki mkongwe nchini tanzania afande sele ameishukulu mbeya mjini kwa kumchagua mwanamuziki mwenzao SUGU kuwa mbunge mbeya mjini na kudai kuwa kwao kama wanamuziki ni shukrani kubwa sana kwani wamepata muwakilishi wao juu ya muziki wa bongo freva