Mwalimu mmoja wa shule ya msingi huko Nepal amebuni adhabu mbadala kwa watoto watukutu shuleni hapo, badala ya kuwacha ama kuwapa adhabu nyingine stahili, yeye alibuni adhabu ya aina yake ya kuwashkisha adhabu kama unavyoona pichani wanafunzi wanalala wakinyoosha mikono mbele alafu yeye anatekeleza adhabu yake kwa kuwakanyaga vidole vya mkononi kwa kutumia pikipiki. Hapa mimi na wewe tuwaachie UNICEF w
aongee kuhusiana na hili……