Thursday, May 19, 2011

MCHIZI T-MAUMIVU AFUNGUKA KUHUSU KUZIMIA SWAGA ZA MWANADAFADA KESHA.........!!!!!!!!!!!

Mkali wa mavoko hasa kwenye corous Talla hassee Pain aka T-Pain na Mkali wa Pop na vile vile Rapper Ke$ha wameonekana wamepiga picha kiutatautata na kwa sasa kuna rumours kuwa wana share-malavidavi pamoko hivi dizain……
T-maumivu na Ke$ha walionekana jijini Las Vegas hivi karibuni,na walikuatana weekend kwenye show ya Wango Tango ambapo T-Pain alianza kumfukuzia kabla ya kutupia kwenye akau



nti yake ya tweeter kuwa “Usiku wa jana nilimzimia sana Artist Ke$ha, na wala siku-share nae mapenzi,ila namzimia coz anajua kutupia swaga akitaka kufanya showz sehemu yoyote” na baadaye Ke$ha naye akafunguka hivi “hata mimi nakuzimia T-Pain,usikonde wala nini” ambapo baadaye kwenye tweeter zikatupiwa picha zao zilizoandikwa K-Pain aka Ke$ha-Pain..acha tuone ishu itakayoendelea kumeck hedline hivi dizain……….!!!!!!!!!!