Akiwa msanii anayeimba miondoko ya pop mwenye vituko kibao,kucheza na kuvaa nguo za ajabu ajabu na kuwavutia designers kadhaa toka kila pande za dunia,Stefani Joanne Angelina Germanotta aka Lady Gaga anatarajiwa kujiunga na V Magazine kama muandishi na jarida la kwanza litatoka May 12,2010.
Na kwa sasa Lady Gaga na V Magazine wametangaza tender ya kutengeneza artwork kwa ajili ya jarida h
ilo