Rapper Jay-Z amekubali kumsaidia Mchezaji wa Timu ya taifa ya England na Chelsea,Ashley Cole kuanzisha studio ya kurekodi.
Ashley Cole anatarajiwa kujiingiza kwenye biashara ya muziki baada ya kumaliza muda wake wa kucheza soka na kuisha na Boss wa Roc Nation amekubali kumsaidia mchizi kwenye game.
Jay-Z na Ashley Cole walikutana mwaka 2009, na katika miezi ya hivi karibuni age
nt wa Ashley Cole amekuwa na mawasiliano ya karibu na uongozi mzima wa Jiga kwa ajili ya kuangalia uwezekano wa jinsi gani wa kuifanya hiyo deal.
Jay-Z amekua karibu sana na michezo ambapo kwa sasa anamiliki timu inayocheza ligi ya NBA ya nchini Marekani,New Jersey Nets