Thursday, November 11, 2010

ALMOST KITAA

toka dom mwanachemba darkmaster anaachia album yenye ngoma kumi na moja ikiwepo iliyobeba jina ya album ALMOST , na kuwaahidi mafans wake wasikonde kwani album imesimama ile mbaya, na kusema amerekodi toka studio tofati tofauti, lakini nyingi toka bongo record kwa mtu mzima majani,