Wednesday, May 18, 2011

LADY GAGA AENDELEA KUFUNGUKA KUHUSIANA NA BORN THIS WAY........

Baada ya kudondoka kitaa wiki moja tangu album yake ya born this way idondoke sokoni mwanadafada lady gaga amefunguka kuwa ni bonge la album katika hii karne ambayo anaamini fans wake wanaojiuliza swali lolote kuhusiana naye litakuwa ndani ya hiyo album ambayo iko kitaa ambapo amefunguka hayo alipokuwa akichonga na gazeti la metro newspaper ambapo alifunguka kuhusiana na kile ambacho album yake inamaanisha, ambapo ali


fafanua maana ya jina la album yake “born this way” yani who are you,what are you about ambapo pia unaweza kuzisikiliza ngoma zote kumi na nne kwenye mtandao wa metro.co.uk ambazo zipo katika album hiyo ambayo inakimbaza kitaa kwa zaza.